30 April 2013

HATARII...HUYU ndo Dr.anayefanya MAPENZIi na wagonjwa kabla ya kuwatoa MIMBA...Angalia VIDEO jinsi ALIVYOKAMATWA NA MTEGO VIZURI

Ni tabu kuamini lakini haya ndio wanayofanyiwa baadhi ya wanawake wanaoenda kutoa Mimba kwa madaktari. Madhara yake ni kujikuta wametoa mimba salama lakini wanaishia kuambukizwa UKIMWI na hatimaye kupoteza maisha.
Huyu ni Dr. Joshua Drah toka GHANA
HII NDO VIDEO YENYEWE 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname