
Kajala ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mtayarishaji wa muziki maarufu hapa
Bongo “P-Funk” na kufanikiwa kupata naye mtoto mmoja, hivi sasa
inasemekana ana-roll na mchizi mmoja ambaye ni member wa kampuni ya
Endless Fame ya Wema Sepetu. Solid snitch
wa bongomovietz.com ambaye
amezipata za chinichini na ku-notice nyendo
mbili
tatu za bootylicous actress Kajala Masanja kupitia BBM na mshkaji
huyu. Directly unaweza kukubali kwamba yes, Jamaa na Kajala ni mtu na
mpenzi wake kwa sasa. All is well, its a new life for Kajala and she
deserve to love and to be loved. Best wishes kwenye kila anachokifanya
hasaa kazi ya yake ya movie.
No comments:
Post a Comment