10 March 2013

Vigezo 3 ambavyo mwanamke akiwanavyo mvulana hawezi kumpotezea.


Kwa wale ambao wanatafuta mvuto na wale wanaotafuta warembo, zitambue sifa 3 muhimu ambazo wavulana wengi hupenda kuziona kwa msichana, na msichana akiwa nazo
hataweza kuachika kiurahisi.

Mwnamke/Msichana mwenya tabasamu
(Tabasamu linanguvu kuliko unavyo dhani):
Mwanamke ambaye anatabasamu zuri linamvutia mvulana yeyote kuwanaye au kumtongoza ili kumpata. Wanawake/Wasichana wengi huwa na imani tofauti juu ya kuwa na tabasamu kwa mvulana kwa kudhani kama anaweza kuonekana yeye ni malaya au msichana asiye jiheshimu. Lakini kwa ukweli halisi Tabasamu ni sumu ambayio mvulana akiilamba kwa mwanamke yeyote hataweza kuporochoka kutokana na kumburudisha hata wakati akiwa na huzuni.
Mvulana iliamtongoze msichana nilazima aone ishara ya yeye kuweza kupendwa, wakati mwingine wasichana hulalama kuwa yeye hatongozwi au anamsubiri fulani amtongoze lakini hajawahi kuonyesha ishara yoyote itakayoweza kupelekea atongozwe.
Smile to attract men baby girl
.

Mwanamke/Msichana anaye sikiliza
(Asiye mropokaji, Kihere here bali mstaarabu kwenye mazugumzo)
Kwa maranyingi wasichana hawapendi kumsikiliza mwanaume kwa muda mrefu. Wanataka kumsikiliza hata ndani ya nusu dakika kisha wao nao waongee. Wakati mwanaume anatarajia mwanamke aweze kumsikiliza hata angalau dakika chache mbeleni ili kuweza kuelewana.
Pale mwanaume atakapo kutana na msichana/mwanamke ambaye yeye anauwezo wa kumsikiliza na kutokuwa mropokaji itakuwa ni rahisi kwa yeye kuwanaye kuliko msichana anayetaka kuongea tu yeye na kuwa mpayukaji (Mcharuko).
Kwa hata walio kwenye mapenzi maranyingi wamekuwa wakiumia kwa kuachika nakulaumu kuwa wavulana hawajali kumbe kutokana na tabia yake ya kuwa mtawala kwenye mazungumzo (Mpayukaji/Mcharuka) ndiomaana anaachika ki urahisi.
Learn to Listen than instead of dominating the conversation
.

Mwanamke ambaye anavaa kwa nidhamu
(Wanaume wanataka kupendezwa na muonekano).
Kilammoja nakubaliana nami kwamba wavulana hupenda msichana mwenye mvuto. Wasichana wengi hupenda kujiweka kwenye mavazi yenye mvuto kutokana na kile wanachokisoma kwenye magazeti na au kuona kwenye vyombo mbalimbali vya habari na kuamini kuwa hakuna mvulana anayetaka msichana nanyevaa kwa nidhamu. Kwahiyo inafikia hatua ambayo mwanake anatupia nguo ambazo nidhagharama lakini hazijaweza kumvutia mvulana.
Mwanaume yeyote hupenda msichana naye vaa kwa kujiheshimu ilikupunguza stress pale wanapotoka out au anapoonekana kwa watuwengine akiwa na mpenzi wake. Mavazi unayo vaa yanakusababisha uonekana ni wakujirahisisha na kusababisha mtu asilkutamani.
Lakini kama utavaa ya nidhamu basi utaweza kumvutia mvulana mwenye msimamo wa mapenzi kuwa na wewe.

source- http://24hoursmix.blogspot.com/

Comments system

Disqus Shortname