30 March 2013

UPDATES: maiti 18 zaopolewa katika jengo lililoporomoka jana katikati ya jiji la dar es salaam


Jumla ya maiti 18 zimeopolewa katika kifusi cha jengo la ghorofa zaidi ya kumi lililopromoka jana asubuhi katika mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam, idadi hiyo ya watu waliopoteza maisha ikiwa ni ya kihistoria kwa majanga ya aina hii.* * * *Mwili mmoja umeopolewa muda mfupi
uliopita, ikiwa ni masaa kadhaa baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadik kuthibitisha mapema asubuhi kwamba miili 17 ilikuwa imepatikana baada ya kazi za uokoaji ya usiku kucha na inayoendelea hivi sasa.* * * *Makampuni kadhaa ya ujenzi yamejiunga katika zoezi hilo toka usiku kusaidia kuokoa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname