30 March 2013

MAAJABU.....MANGE KIMAMBI AONYESHA PESA ZAKE ALIZO ZZIPATA ARUSHA KWA KUZITANDAZA KITANDANI ILI KUWARINGISHIA MAADUI ZAKE.

 
 Mange Alikuwa Arusha Ambapo Alipeleka Vitu vya Kuuza Kutoka Ulaya Hizo ndio Picha na Maneno aliyoandika kwenye Website yake..........

HIKI NDICHO ALICHO ANDIKA....
"NYIE WALALA HOI MIE SIHESABU MATUSI NAHESABU MAHELAAAAAAAA...

MKIMALIZA KUTUKANA NJOONI NIWAPE AJIRA.
....LOLEST!!!!!

SIJIBISHANI NA WACHOVU...........

NDO KWANZAAAAA NATENGEZA MAHELAAA NA MUME ANANISUBIRI KWA HAMU,

MTACHONGA SANA HAACHWI MTU NA BONGOLICIOUS NDO MAMBO YOOOOTE.......

MWAKA HUU MTAISOMA NUMBERRRR.......

HATA MUONGEE NINI MIE NDO MANGE KIMAMBI NA MTAENDELEA KU KISS THE

GROUND I WALK ON........." Says Mange



1 comment:

  1. we need to be clever...we never grow brains...u need to grow some. if u keep showing this stuff then u gat nothing...

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname