UTATA WA TAARIFA KUHUSU LULU KUPEWA DHAMANA
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mwandishi wa habari wa Clouds FM,
msanii wa filamu Elizabeth Michael maarufu Lulu hajatoka nje kwa
dhamana bali kesi yake iliyosikilizwa leo kwenye mahakama ya Kisutu
jijini Dar es Salaam itahamishiwa kwenye mahakama kuu ya Tanzania.
Leo mashahidi zaidi ya sita wametoa ushahidi wao mahakamani hapo akiwemo yeye mwenye Lulu aliyesimulia jinsi tukio hilo lilivyo kuwa.
source bongo5