28 November 2012

BRAND NEW VIDEO FROM SARAFF -Next Flight


Kwa jina naitwa SARAFF, ni mwana HIPHOP mpya wa kibongo ila ninawakilisha kutoka New York. Nataka kutumia fursa hii kuitambulisha nyimbo ya kwanza kwenye album yangu inayokwenda kwa jina la “Next Flight" Najua kuongea Kiswahili vizuri ila nimeamua kutumia English kwenye nyimbo zangu ili kujitangazisha kimataifa na kitaifa. Album nzima pamoja na video vimetengenezwa chini ya Waya Mkali Production.

Comments system

Disqus Shortname