Mahakama
Kuu Kanda ya Tabora imetoa hukumu ya kesi ya ubunge iliyokuwa
ikimkabili mshindi wa ubunge jimbo la Igunda Dk Peter Kafumu
(CCM).Hukumu hiyo ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Dk Kafumu
imetolewa leo ambapo imemuengua mbunge huyo katika nafasi yake ya ubunge
Shauri
hilo lilifunguliwa na mlalamikaji Joseph Kashindye dhidi ya Dk Kafumu,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na msimamizi wa uchaguzi.
haki imetendeka na imechukua mkondo wake
ReplyDeleteSISHANGAI KWANI HUU NI MUENDELEZO WA KILE MH. WENJE ANACHOKIITA "POLITICAL TSUNAMI" DHIDI YA MAFISADI NA CCM.
ReplyDelete