Msanii toka kundi la Weusi Lord Eyez leo asubuhi alifikishwa
mahakamani katika mahakama ya wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaa
akitokea mahabusu katika kituo cha polisi cha Oysterbay na kushindwa
kupanda kizimbani baada ya hati ya mashtaka kutokidhi mahitaji ya
kisheria.