Breaking Newzz....MH.MBUNGE MUSSA ZUNGU AKAMATWA NA RUSHWA
Breaking Newzz....MH.MBUNGE MUSSA ZUNGU AKAMATWA NA RUSHWA.HII IMETOKANA NA KUBAINIKA AKIGAWA PESA ALIZOKUWA NAZO KATIKA GARI LAKE,NDIPO KUTOKANA NA MTEGO ULIO WEKWA NA TAKUKURU NA KUWEZA KUBAINI JAPO GARI LILILO KUWA NA PESA KUKIMBIA LAKINI USHAHIDI WA SIMU UMEBAINIKA.
Chanzo TBC 1