17 September 2012

ODAMA APATA SHAVU UINGEREZA NA MALAYSIA

Jennifer Kyaka ‘Odama’.

SISTADUU wa tasnia ya filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekula shavu la kufanya ziara ya kikazi nchini Malaysia na Uingereza.
Rafiki wa karibu wa Odama alisema kuwa staa huyo aliondoka nchini hivi karibuni baada ya kupata shavu kutoka kwa maprodyuza wa  Nigeria ambapo atafanya nao ziara ya kikazi katika nchi hizo mbili kisha atarejea Bongo kuleta maujuzi ya kuendeleza tasnia hiyo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname