20 September 2012

MABASI MAPYA YA YANGA AFRICANS vs SIMBA SC NDO HAYAI!




Mabasi mawili ya kisasa ambayo yatakabidhiwa kwa Klabu za Simba na Yanga yakiwa yameegeshwa katika
Hatimaye, yale mabasi waliyoahidiwa Simba na Yanga kutoka kwa mdhamini wao yapo karibu kukabidhiwa, kwa sasa yakiwa kwenye hatua za kupambwa rangi za klabu hizo, Hili ni basi la Yanga ambalo bado kubandikwa nembo tu ya klabu na jina. Basi la Simba pia litakuwa hivi, tofauti rangi. Hongera TBL, Simba na Yanga wanatakiwa kuyatunza vema magari haya, kuhakikisha wanayafanyia service mara kwa mara, yanakuwa katika hali nzuri kila wakati. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname