12 September 2012

Angalia PICHA .......ANAYETUHUMIWA KUMUUA MWANGOSI AFIKISHWA MAHAKAMANI IRINGA

Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani

Askari anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa
mashitakata yake. Huku akiwa chini ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani kujitahid kupata picha kwa ugumu.
Akisoma mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines lymo mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa anaitwa Pacificus Cleophase Simon (23)
Kutoka Francisgodwinblog

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname