13 August 2012

SIMBA KUBOMOLEWA TENA.... MRISHO NGASSA KUSAJILIWA YANGA KWA MILIONI 120

Klabu ya Yanga ipo katika mpango wa kumsajili mchezaji Mrisho NgasSa kwa shilingi milioni 120. 

Habari kutoka ndani zinasema baadhi ya viongozi wa Yanga wako katika mazungumzo na uongozi wa
Azam ili kumrudisha mchezaji huyo katika timu yake ya zamani. 

NgasSa ambaye mwaka juzi na mwaka jana alikipiga katika klabu ya Azam na sasa amepelekwa kwa mkopo katika klabu ya Simba huenda akatua tena jangwani, Licha ya kuwa kuna taarifa kwamba Simba hawataki mchezaji huyo aondoke.

source-mateja

1 comment:

  1. nafikiri hata bila ya ngassa,yanga imefanya usajili mzuri tayari kwa ligi kuu pamoja na kagame 2013.itakuwa kamili kwa kulipiza kisasi cha kufungwa 5-0 na simba.dalili zote ziko wazi baada ya kuzuia simba isisajili beki yeyote makini na hivyo wamejikuta wanamsajili pascal ochieng ambaye hana mbio na pia umri umekwenda,sawa na lino masombo.kilichobakia ni kufanya fitna tff ili mechi ya yanga na simba iwe mwanzoni mwa ligi.suala la ngassa litafikiriwa mwakani iwapo atapandsha kiwango chake kwani kimeshuka mno,ndio maana azam wamempeleka simba kwa mkopo ili apandishe kiwango

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname