13 August 2012

HUU NDIO MKATABA WA SIMBA NA MBUYI TWITE

Klabu ya Simba leo imetoa hadharani mkataba wake uliosaniwa  baina yao - klabu na mchezaji wa kimataifa kutoka Rwanda Mbuyi Twite ambaye muda mchache uliopita amesaini mkataba mwingine wa kujiunga na Yanga.

Kusoma vizuri jaribu ku-double click then maandish yatasomeka kwa ukubwa






source-dauda

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname