DR.ULIMBOKA, KABLA YA KUJERUHIWA, ALIPOJERUHIWA NA BAADA YA KUPONA
 |
| Dk. Steven Ulimboka, alipolazwa hospitalini jijini Dar es Salaam,
picha ya katikati, anavyoonekana jana baada ya kutibiwa Afrika Kuisni na
kulia ni jinsi alivyokuwa kabla ya kujeruhiwa na watekaji. |
 |
Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven
Ulimboka, akiwa amebeba maua, nakuzungukwa na amadaktari wenzake na
wananchi wa kawaida, alipowasili Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja
wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea
kwenye matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti na anaweza kufanya
shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa |
No comments:
Post a Comment