17 July 2012

MTANGAZAJI WA EATV DULLAH AFIWA NA MWANAE

Abdallah Hamis Ambua au kwa jina la Mjukuu wa Ambua Mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo kutoka EATV & RADIO leo  saa 9 alasiri amempoteza mwanae wa kwanza wa kiume kuzaliwa. Mtoto huyo ambaye alizaliwa  hiyo jana mchana. 
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEME PEPONI AMIN.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname