12 July 2012

Breaking Newzzz..NAIBU SPIKA Mh.Ndugai ASEMA WANANCHI WA KAWE WAMECHAGUA KITUKO

NAIBU SPIKA Mh.Ndugai  ASEMA WANANCHI WA KAWE WAMECHAGUA KITUKO Kauli aliyoitoa leo katika kikao cha jioni kinachoendelea ,Hiyo imetokana na mbunge wa kawe Mh.Halima Mdee kuomba Taarifa wakati Mh.ndugai akiwa amesimama anaongea,na kulazimika mh. ndugai kusema mwenyekiti harusiwi kupewa taarifa,bali mbunge ndiye anatakiwa kupewa taarifa,mwishowe kusema wananchi wa kawe mnaona mmechagua kituko.

1 comment:

  1. ni kawaida kwa wabunge wa ccm kutoa lugha za kebehi kwa wabunge wa cdm so sion jipya ila 2015 ndo lugha hizo zitakoma

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname