16 November 2011

BEYONCE AOGOPA KUPANDA NDEGE KUHOFIA KJIFUNGUA KABLA YA WAKATI

Mwanadada mrembo BEYONCE amesitisha kupanda ndege hadi hapo atakapo jifungua.Hii imetokana na yeye mwenyewe akihofia uwezekano wa kujifungua akiwa ndani ya ndega.Japokuwa madaktari wamempima na kumruhusu kupanda ndege .

Kutoka -Pro24 blog

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname