Showing posts with label bongo muvi. Show all posts
Showing posts with label bongo muvi. Show all posts

01 December 2012

FILAMU MPYA....Yusuf Mlela Na Hemed 'PHD' Ndani Ya Hit Back...!


 
 
"HIT BACK" Ni hadithi ya wanandugu watatu (three brothers) STANLEY MSUNGU, YUSUPH MLELA na HEMED SULEIMAN, ambao hawakujuana kabla kutokana na mazingira ya makuzi yao, japo wawili kati yao (STANLEY MSUNGU na HEMED SULEIMAN)

18 September 2012

BALAA SASA.......WEMA NAE AACHIA MAKALIO NJE KAMA AUNT EZEKIEL MH BHAAAS FIESTA 2012...Angalia PICHA.




EXCLUSIVE: LULU "ELIZABETH" MICHAEL NA MUONEKANO WAKE WA SASA!

 Kama kawaida kipima joto si uraiani tu hata sasa bado anawakilisha
Pamba na kupendeza kama kawa, na wakina nanihiii hawa chezi mbali mweee






Dokta Cheni ndio msanii pekee wa filamu ambaye yuko bega kwa bega na familia ya Lulu. Big up kaka Mungu yupo pamoja nawe katika kufanikisha swala la Lulu limalizike hapa akiwa na wakili wa Lulu. Tuzidi kumuombea Lulu.

Comments system

Disqus Shortname