Showing posts with label Video. Show all posts
Showing posts with label Video. Show all posts
20 July 2015
29 June 2015
Angalia Official Video: Navio Feat. Mr. Blue- AYAYA
Mwezi February 2015 Rapper kutoka Uganda, Navio alitua TZ kwa ajili ya show ambayo ilifanyika Club Billz, Dar es Salaam ilimshuhudia star huyo alipofanya uzinduzi wa Video ya Hit song ya ‘Kigozi‘.
Uwepo wa Navio ndani ya TZ ulikuwa na kingine kizuri, walikutana na Mr. Blue na kupiga collabo ambayo tayari imefanyiwa video… kama hujakutana na video hiyo basi unaweza kuchukua kama dakika nne hivi kuicheki hapa.
Kuangalia Video hio BOFYA HAPA
25 February 2015
06 February 2015
Je huu ndio mwisho wa 'Kanumba the Great Film' baada ya madai kuwa ni kichaka cha 'Ufuska' Ofisi hiyo ya yafungwa
Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia habari hii kuwa ile ofisi
ya aliyekuwa mwigizaji kinara wa sinema za Kibongo, Steven Charles
Kanumba ‘Marehemu Kanumba The Great’ iitwayo Kanumba The Great Films
iliyokuwa maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar imefungwa rasmi huku vitu
vikihamishwa usiku.
Tukio hilo la kusikitisha lililoshuhudiwa na wanahabari wetu lilijiri
Februari 2, mwaka huu, majira ya saa 1:30 usiku baada ya kutonywa na
jirani mmoja anayefanya biashara zake karibu na ofisi hiyo.
Shuhuda huyo alidai kwamba mtekelezaji wa zoezi hilo ni mmoja wa watoto wa Mama Kanumba, Flora Mtegoa (jina halikupatikana mara moja) ambaye aliamua kufanya shughuli hiyo usiku ili kukwepa kuonekana.
Muasisi wa kampuni ya 'Kanumba the Great Film' marehemu Steven Charles Kanumba
Shuhuda huyo alidai kwamba mtekelezaji wa zoezi hilo ni mmoja wa watoto wa Mama Kanumba, Flora Mtegoa (jina halikupatikana mara moja) ambaye aliamua kufanya shughuli hiyo usiku ili kukwepa kuonekana.
Labels:
Entertainment,
Fashion,
Gossip,
Life Style,
Music,
news,
Photos,
Sports,
Video
Madaktari wamuomba Bobby Brown awaruhusu wazime mashine inayomsaidia Bobbi Kristina kupumua sababu hakuna matumaini
Madaktari wa hospitali alipolazwa aliyekuwa mtoto wa mwanamuziki wa
nchini Marekani,marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina hawana tena
matumaini ya kuokoa maisha ya binti huyo.
Madaktari hao wamemuomba baba yake Bobby Brown kutoa ruhusa ya kuzima mashine inayomsaidia kupumua ikiwa na maana kwamba kukubali matokeo ya kuwa hawezi kupona,TMZ imeripoti.
Vyanzo vya familia hiyo vimeiambia TMZ kuwa maamuzi sasa yako mikononi mwa baba yake Brown, na inadaiwa kuwa hataki kufanya maamuzi hayo magumu hivi sasa anasubiri mpaka baada ya weekend.
Madaktari hao wamemuomba baba yake Bobby Brown kutoa ruhusa ya kuzima mashine inayomsaidia kupumua ikiwa na maana kwamba kukubali matokeo ya kuwa hawezi kupona,TMZ imeripoti.
Vyanzo vya familia hiyo vimeiambia TMZ kuwa maamuzi sasa yako mikononi mwa baba yake Brown, na inadaiwa kuwa hataki kufanya maamuzi hayo magumu hivi sasa anasubiri mpaka baada ya weekend.
Labels:
Entertainment,
Gossip,
Life Style,
Music,
news,
Photos,
Sports,
Video
Pinda azidi kupingwa kwa kauli yake aliyosema "Wanafunzi walioshiriki sherehe za CCM ni wanachama"
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amedai kuwa wanafunzi wa shule za msingi na
sekondari walioshiriki sherehe za miaka 38 ya CCM mjini Songea, wakiwa
wamevalia sare, ni watoto wa wanachama wa chama hicho tawala, kauli
ambayo imekosolewa na watu wa kada mbalimbali.
Sherehe hizo zilifanyika Jumapili ya Februari 1 kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea, zikishirikisha makundi mbalimbali, wakiwamo wanafunzi hao wa shule za msingi na sekondari ambao walivalia sare za CCM na kucheza gwaride na halaiki, ambayo kwa kawaida huchukua muda mrefu kujifunza na kuielewa.
Lakini akijibu swali la mbunge wa viti maalum (Chadema, Susan Lyimo, mtendaji huyo mkuu wa Serikali alitetea ushiriki wa watoto hao wapatao 500 kwenye sherehe hizo akisema kuwa ni sehemu ya mfumo wa wanachama wa CCM.
Sherehe hizo zilifanyika Jumapili ya Februari 1 kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea, zikishirikisha makundi mbalimbali, wakiwamo wanafunzi hao wa shule za msingi na sekondari ambao walivalia sare za CCM na kucheza gwaride na halaiki, ambayo kwa kawaida huchukua muda mrefu kujifunza na kuielewa.
Lakini akijibu swali la mbunge wa viti maalum (Chadema, Susan Lyimo, mtendaji huyo mkuu wa Serikali alitetea ushiriki wa watoto hao wapatao 500 kwenye sherehe hizo akisema kuwa ni sehemu ya mfumo wa wanachama wa CCM.
Labels:
Entertainment,
Gossip,
Life Style,
Music,
news,
Photos,
Sports,
Video
Die HardFan. Shabiki wa Jay Z achora sura yake kichwani mwake
Think you are a fan? You haven't started.
This guy tattooed Jay Z's face on his entered head.The problem is, it doesn't
really look like Jay Z though
Labels:
Entertainment,
Gossip,
Life Style,
Music,
news,
Photos,
Sports,
Video
CHEKI VURUGU KALI ZILIVYO ZUKA JANA USIKU KATIKA MASHINDANO YA AFCON BAADA YA GHANA KUSHINDA 3-0 DHIDI YA EQUATORIAL GUINEA
The Africa Cup of Nations semi-final between Ghana and hosts
Equatorial Guinea was described as a "war zone" after play was suspended
for more than 30 minutes because of crowd trouble.
Players ducked bottles thrown from the stands, Ghana
fans sought safety behind a goal, riot police used tear gas and a
helicopter hovered over the stadium.
"It's now like a war zone," the Ghana Football Association (GFA) tweeted, claiming "barbaric acts of vandalism" and "unprovoked violent attacks" had taken place inside the stadium.
Labels:
Entertainment,
Gossip,
Life Style,
Music,
news,
Photos,
Sports,
Video
Subscribe to:
Posts (Atom)