Showing posts with label Love STORY. Show all posts
Showing posts with label Love STORY. Show all posts

14 February 2016

Mwanamke, kumchuna mumeo ni sawa na kujiibia mwenyewe



Naongea hivi maana wanawake wengi wa leo tunashindwa kutofautisha mume na mtu mpita njia au kwa maneno mengine mtu usie na uhakika nae kwamba mtaishi wote kama mume na mke.

Unakuta mwanamke keshaolewa badala ya kumshauri mume wake wajenge future yao ya baadaye na watoto wao, eye ndo kwanza yuko busy anataka wigi la laki sita, anataka viatu vya laki 3, anataka Iphone, nguo za Woolworth, starehe kwa sana na kushughulikia vya tumbo tu anasahau wako kwa nyumba ya kupanga wala hana habari.

Simaanishi kwamba wanawake waume zenu wasiwapendezeshe but acheni kudemand vitu visivyo na tija badala ya kujenga future yenu. Mambo ya kucompete na mashost zako so nawe unataka uonekane umo unamgeuza mumeo buzi wakati ni mume wacha.

Mwanamke bana matumizi vizuri, weka mahesabu yako sawasawa, mshauri mumeo mfanye mambo ya maana achana na mawigi ya laki 6, kufanya showoff wakati hamna nyumba maana kesho watoto hawatalala kwenye hilo wigi la laki 6.

Umeshaolewa maana yake mko na huyo mumeo kujenga kesho yenu itayokuwa the best.
Wachaneni na vitu visivyo na maana pindi mkishaolewa, msaidie mumeo kujenga future yenu na sio kumchuna maana ni sawa na unajiibia mwenyewe

Nimegundua Mimi na Baba Yangu Mzazi Tunashare Msichana Mmoja Bila Kujua...

Ni wiki ya tatu sasa tangu mama asafiri kwenda kwenye msiba huko nyumbani kwao, nyumbani tumebaki mimi, baba na mfanyakazi wetu wa ndani.
Kwa vile mimi nimeshamaliza chuo na muda mwingi huwa nashinda nyumbani (sina kazi) nimejikuta nikiingia katika mahusiano ya mapenzi na huyu msichana waa kazi.
Juzi usiku kama kawaidayangu nilienda chumbani kwake ila sikumkuta ikabidi nitege mingo ili nijue huyu msichana kaenda wapi, baada ya kama lisaa 1 nilishtuka kuona mlango wa kwa baba unafunguliwa na yule msichana wa kazi kakatoka na kwenda chumbani kwake.
Niliumia sana kuona kile kitendo si kwa wivu wa mapenzi bali kwa kile kitendo alichofanya baba na ukizingatia anamke wa ndoa (mama yangu).
Wadau naombeni busara zenu kuwa anachokifanya sio kizuri au nimwambie na bi mkubwa?

13 February 2016

Madhara ya Kujichua Kwa Mwanamke Kwa Kutumia Vifaa Haya Hapa..

Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.

Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua;

1. Inaharibu kizazi

2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.

09 February 2016

Mwanamke, kumchuna mumeo ni sawa na kujiibia mwenyewe

 

Naongea hivi maana wanawake wengi wa leo tunashindwa kutofautisha mume na mtu mpita njia au kwa maneno mengine mtu usie na uhakika nae kwamba mtaishi wote kama mume na mke.

Unakuta mwanamke keshaolewa badala ya kumshauri mume wake wajenge future yao ya baadaye na watoto wao, eye ndo kwanza yuko busy anataka wigi la laki sita, anataka viatu vya laki 3, anataka Iphone, nguo za Woolworth, starehe kwa sana na kushughulikia vya tumbo tu anasahau wako kwa nyumba ya kupanga wala hana habari.

Simaanishi kwamba wanawake waume zenu wasiwapendezeshe but acheni kudemand vitu visivyo na tija badala ya kujenga future yenu. Mambo ya kucompete na mashost zako so nawe unataka uonekane umo unamgeuza mumeo buzi wakati ni mume wacha.

Mwanamke bana matumizi vizuri, weka mahesabu yako sawasawa, mshauri mumeo mfanye mambo ya maana achana na mawigi ya laki 6, kufanya showoff wakati hamna nyumba maana kesho watoto hawatalala kwenye hilo wigi la laki 6.

Umeshaolewa maana yake mko na huyo mumeo kujenga kesho yenu itayokuwa the best.
Wachaneni na vitu visivyo na maana pindi mkishaolewa, msaidie mumeo kujenga future yenu na sio kumchuna maana ni sawa na unajiibia mwenyewe
CREDIT - JF

08 February 2016

Ni vitu vidogo lakini ukivizingatika kila asubuhi utakuwa na furaha siku nzima

Wimbo wa Happy wa Pharrell Williams ulikuwa moja ya nyimbo ninazosikiliza kila ninapo amka asubuhi, kwanini sababu ni siku mpya na nilitaka kuanza na furaha kama jina la nyimbo. Je, wewe unafanya nini cha kwanza unapoamka asubuhi.? Kuna vitu vidogo sana unaweza ukawa unafanya kila siku na ukajisikia mwenye furaha na ukaanza siku yako vizuri

Usizime Alarm (kengere).

Kuna wakati unahitaji kitu cha kukufanya uamke muda unaopanga wewe asubuhi. Kengere ya simu au saa ya mezani, inapoita wengi wetu sababu ya usingizi mwingi tunaizima na kuendelea na usingizi,  kwa dakika chache,  ila ni vizuri kama ulipanga kuamka muda huo basi na uamke . panga ratiba yako na uizoe.

Tafuta Ujumbe wa kukupa moyo.

Kuna wakati tunahitaji mtu wa kutuambia tunaweza,weka chumbani kwako ujumbe mzuri wa kukupa moyo kama “You’re the Best” au unaweza ukaingia Google na kutafuta “inspiration quotes” hizi ni nikuu za watu mbalimbali, ambazo unaweza kusoma kila unapo amka uanze na siku mpya.kila siku mpya ni zawadi na unatakiwa uwe na mwanzo mpya sababu siku hazifanani.

Kaa mbali na tekinologia kwa muda wa saa moja.

Hapa naongelea Tv,radio au simu.  Simu ni kitu cha kwanza mtu akiamka anashika asome ujumbe, aingie kwenye mitandao ya kijamii  Facebook,Twitter and Instagram si kitu kibaya kwenda na wakati nakujua nini kinaendela duniani, lakini chukua muda wa saa moja fanya mambo mengine na ufanye kama unahisahau simu kwa muda.

Fanya mazoezi.

Kuna watu wanasingizia muda inapokuja swala la mazoezi, please,  dakika 20 tu zinatosha kufanya mazoezi ukiwa nyumbani, sijui watu wengine wanatumiaje mitandao ya kijamii, kama instagram na Youtube kuna video zinaonyesha aina ya mazoezi unaweza ukafanya ukiwa nyumbani hii ni rahisi kwa mtu yoyote kufanya mazoezi akiwa nyumbani, mazoezi yanasaidia kupunguza stress na kusaidia mzunguko wa damu.

Pata kifungua kinywa.

Kwa kawaida tunakula mara 3 kwa siku ila kwa mara zote 3, kifungua kinywa ndo mlo wa muhimu kuliko yote, pata chai au kikombe cha kahawa kila siku asubuhi hautojuta,

Pangilia Ratiba yako ya siku.

Hili ni tatizo kwa wengi , mtu anaanza siku kama zali tu hajui anaanza na nini au wapi anaanza siku yake na kama ni mtu anafanya kazi ofisini hata hajui anaanza na kazi gani akifika ofisini,lazima uwe na ratiba  ujue unaanza na nini na unamaliza na nini. Hii itakufanya ufanye mambo yako kimpangilio zaidi.

Wajibika.

Wajibika katika majukumu yako,ukiwa na kazi ni rahisi kuona siku inaisha kirahisi na haraka uwe mama wa nyumbani, unafanyakazi ofisini ama we ni kaka muuza genge zote kazi cha msingi ni kujari muda na kupenda kazi yako ukiwa mtu wa kuwajibika hautokuwa na muda wa kufanya vitu visivyo na maana au kama mwanamke kujiingiza katika matatizo au vikundi vya kimbea.

07 February 2016

Utafiti umeonesha wanaume wenye vipara ni wanaume wenye mvuto zaidi kimapenzi!

Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara.

Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda kunyoa vipara japokuwa kuna baadhi ya sifa hapa wanaweza wakawa nazo pia.

Muonekano wa kiume: wanaume wenye vipara wengi huwa na muonekana wa kiume zaidi,muonekano nadhifu  sina maana kama wanaume wengine walio na nywele ndefu ama wastani hawana mvuto lah, nauongelea mvuto zaidi ama mvuto wa kipekee.

Ujasiri: wanaume wa aina hii wengi huonekana ni wajasiri kwa muonekano wao tu, hii huwafanya kuwa kivutio kwa wanawake.

Wana hisia kali za kimapenzi: daktari kutoka Chuo cha Yale Marekani , James B. Hamilton alisema katika utafiti wake wanaume wengi walio na vipara miili yao huwa inazalisha mbegu nyingi za kiume kuliko wanaume wenye nywele, japokuwa si kwa asilimia 100 alisema pia  uchunguzi zaidi bado unaendelea ili kutetea uchunguzi huo.

Hawana muda na Vioo: mwanaume anaefuga nywele ndefu hutamani aonekane msafi na mtanashati kwahiyo hatokaa mbali na kitana chake wala mbali na kioo chake, labda tu awe ana Rasta. Mwanaume mwenye vipodozi vingi kwaajiri y aywele zake kumshinda msichana

Wastarabu : kuna utofauti wa muonekano kati ya mwanaume mwenye kiduku, na suti na mwenye upara na suti  watu hawa wawili wanaweza kuonekana tofauti sababu tu ya nywele zao,muonekano wao unaweza ongelewa tofauti mbele za watu.

Wapo tayari kwa mabadiliko:  kama mtu ameweza kukubali kwamba hawezi kuwa na nywele kama watu wengine na akaibubali hali yake, tofauti na wale wanaovaa kofia sana na wengine nchi za nje wanavaa hata mawigi  ili wasionekana hawana nywele. Lakini wapo wanao ichukulia kama hali ya kawaida hawa ni zaidi ya wajasiri. Wanaweza kuvumilia

Vin Diesel, L.L. Cool J, Bruce Willis, Michael Jordan and The Rock (Dwayne jonhnson  hawa ni Baadhi tu ya mastaa  kutoka Marekani. Ambao wana vipara.

06 February 2016

Fahamu kwanini watu huota wanafanya mapenzi!

Miongoni wa makundi ya vijana hasa wenye umri wa kati miaka 15-23 wengi wao huota wakifanya mapenzi ndotoni, lakini mbali na hao kuna watu wazima pia ambao hukumbwa na tukio hili. Uotaji wa ndoto hii umekuwa ukitafsiriwa na wengi kwa maana tofauti tofauti, huku wengine wakiuhusisha na ufanyaji mapenzi na Majini.


Uchunguzi unaonyesha kuwa uotaji ndoto za kimapenzi huwatokea hata watu ambao hawajawahi kufanya kitendo hicho kabisa, huku watu wanaofanya nao wakiwa ni wale wanaowafahamu kwa sura au wasiowafahamu. Wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi juu ya nini kinachangia uotaji huu wa ndoto za kimapenzi?

Kitaalamu ndoto hizi hutokana na mawazo ya mtu husika ambayo yanaweza kugawanywa katika sehemu mbili ambazo ni MAWAZO YALIYO WAZI au YALIYOJIFICHA. Mtaalamu wa masuala ya ndoto Daktari Gillian Holloway anaeleza kuwa ndoto hizi hufumbua maamuzi na hisia zilizojificha nyuma ya ubongo.

Pamoja na tendo hili kuwa baya katika mitazamo ya wengi hasa kiimani, lakini bado si kitaalamu halina ubaya kwa kiwango hicho kwani mara nyingine husaidia kutafsiri yale ambayo wahusika hawakupata kuyafahamu kabla. Kwa mfano vijana ambao hawajafanya mapenzi hupata kutambua raha itokanayo na kitendo hicho na hivyo kuwaamshia hisia za kimapenzi ambazo pengine hawakuwa nazo hapo awali.

Wachunguzi wa masuala ya ndoto wanasema ndoto hizi zikitumika vizuri zinaweza kusaidia kumpata mchumba anayegusa hisia za moyo, aina ya mapenzi yanayokufurahisha, haiba ya mpenzi umpendaye na wakati mwingine huchangia kuongeza uzalishaji wa homoni na kupunguza msongo wa mawazo sawa na mtu aliyefanya mapenzi laivu.

Hata hivyo watu wanaotajwa kutokewa na kitendo hicho mara kwa mara ni wenye tabia ya kuogopa wanaume/wanawake na hivyo kuzikandamiza hisia zao, pamoja na wale wanaochochea hamasa za kingono na kutokuzikata, (mfano kufanya romance na kuachana bila kuingiliana), wanaotazama picha za ngono, wanaozungumzia sana mambo ya kimapenzi na wale wanaowaza sana wapenzi wao walio mbali.

Kwa maana hiyo ili mtu asiweze kutokewa na ndoto hizo hana budi kujizuia na mambo hayo yanayotokana na uamshaji na ukandamizaji wa hisia za kingono. Hii ina maana ya utashi wa mtu wa kutopenda kuota, lakini si kwamantiki kuwa uotaji huu unauhusiano na mambo ya kishirikina au kichawi kama ambavyo watu wengine wanavyoaminishwa.

Mwisho kama kuna wanaodhani kuwa ndoto hizi zimewadhuru kwa namna moja au nyingine, wafahamu kuwa kilichowadhuru si kuota ndoto hizo bali ni wasiwasi wao unaotokana na kusikia na wala si madhara kwa maana ya kuota kwenyewe, kwani ikiwa ni ndoto hata wanyama kama Mbwa, Paka na Sungura nao huota wakifanya mapenzi, ushahidi ambao unatosha kutupilia mbali hoja ya ndoto kutokana na majini.
-Jitambue

25 February 2013

Fanya haya! Unapotokea kumpenda mtu aliye na mpenzi wake,.


Tumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ametuwezesha kuonana tena wiki hii tukiwa wazima. Lakini pia tumshukuru kwa kutuletea kitu kinachoitwa mapenzi.

Mapenzi yamekuwa yakichukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku na yamekuwa yakichangia kwa kiasi kikubwa furaha kwa kila mtu.

27 December 2012

15 December 2012

WANAUME HUPENDA KUOA MWANAMKE WA AINA HII

WANAUME HUPENDA KUOA MWANAMKE WA AINA HII
Habari za wiki hii mpenzi msomaji. Mimi namshukuru Mungu kwa kuweza kunikutanisha na nyinyi kupitia safu hii ambayo pamoja na mambo mengine nazungumzia juu ya mada mbalimbali ambazo zinagusa maisha yetu ya kila siku.
Wiki hii nitazungumazia juu ya aina ya wanawake ambao wanaume wengi hupendelea kuoa. Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa

02 October 2012

WANAUME HUPENDA KUOA MWANAMKE WA AINA HII



WANAUME HUPENDA KUOA MWANAMKE WA AINA HII
Habari za wiki hii mpenzi msomaji. Mimi namshukuru Mungu kwa kuweza kunikutanisha na nyinyi kupitia safu hii ambayo pamoja na mambo mengine

30 September 2012

Je unasumbuliwa na tatizo la kutodumu na mpenzi mmoja? HII ndo TIBA.

Kizazi cha zamani hakikupata shida sana katika hili. Kilisubiri muda muafaka ufike ndipo mtu athubutu kufanya maamuzi ya kuingia katika uhusiano ambapo ndani ya muda mfupi basi ndoa

26 September 2012

Kwa Akina DADA: Hizi ndizo sababu kuu TANO za kwa nini Hauolewi mpaka sasa..


1.We MUONGO
 
Mwanamke kuwa muongo katika mapenzi ni kitu kibaya sana kinachosababisha wanaume wengi kupoteza

25 September 2012

Je unasumbuliwa na tatizo la kutodumu na mpenzi mmoja?

 
Ni matumaini yangu marafiki mtakuwa mko poa na mnaendelea na majukumu ya kazi za kila siku. Kama kawaida kupitia safu hii tunapata kujifunza yahusuyo

21 September 2012

UNANG’ANG’ANIA KUHOJI MPENZIO KATEMBEA NA WANGAPI, ILI IWEJE?

 
KATIKA mapenzi kuna mambo ambayo hayastahili kupewa muda wa kuyajadili. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, mengine yanaweza kutibua furaha iliyopo na kuweza kupindisha maisha yenu.
Kwa kuthibitisha hilo, sikia kisa hiki. Jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina la

20 September 2012

ATHARI ZA KUFANYA MAPENZI MARA KWA MARA


Wapenzi wengi hasa wale ambao uhusiano wao ni mchanga hupenda sana kufanya mapenzi kila wanapokutana au wanapohisi

19 September 2012

Ukitaka salama kwenye mapenzi, usifanye makosa haya

  

TUNAPENDA kuongozwa na fikra zetu. Kila mmoja anataka mwongozo wa maisha yake uendane na halmashauri ya ubongo wake. Hufanya hivyo, bila kujua kuwa kuna kikomo fulani ndani yake. Akili

18 September 2012

NAMNA YA KUBADILI MAUMIVU YA MAPENZI KUWA FURAHA

 
BILA shaka mpenzi msomaji umzima buheri wa afya na muda huu unanifuatilia katika busati letu zuri la mahaba, mahali tunapojuzana na kuelimishana mambo kadha wa kadha yahusuyo mapenzi na uhusiano. Nakukaribisha kwa moyo mkunjufu tuijadili mada yetu ya leo kama

Fahamu namna ya kuishi na mpenzi anayependa fedha!

 
HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana.
Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa

WANAUME HUPENDA KUOA MWANAMKE WA AINA HII


WANAUME HUPENDA KUOA MWANAMKE WA AINA HII
Habari za wiki hii mpenzi msomaji. Mimi namshukuru Mungu kwa kuweza kunikutanisha na nyinyi kupitia safu hii ambayo pamoja na mambo mengine nazungumzia juu ya mada mbalimbali ambazo

Comments system

Disqus Shortname