Showing posts with label DYANA NYANGE. Show all posts
Showing posts with label DYANA NYANGE. Show all posts

28 April 2013

DAYNA NYANGE AMPIGIA SALUTI AFANDE SELE KWA TUNGO KALI



Mwanamuziki  toka  mkoani  Morogoro  anayefanya  poa  kwa  sasa  na  wimbo  wake  wa  Leo  mwanadada  Dayna  Nyange  a.k.a  Mkali  wao,  amefunguka  na  kumpigia  saluti mwanamuziki  mkongwe toka  hapa  Morogoro Afande  Sele.

Akiongea  na  mwandishi wetu   toka jijini Mwanza  aliko  sasa

08 March 2013

UJUMBE WA DAYNA NYANGE KWA WATANZANIA

Naitwa dayna nyange. mwanamuziki wa bongo freva. ni mwanamke wa kitanzania. naungana na wanawake wengne duniani kote ktk kuhadhmisha cku ya wanawake duniani.  Nawashauri wanawake wenzangu juu ya kuji2ma kufanya kaz ili kujipatia maendeleo bila kutegemea wanaume. Naamini  wenyewe 2naweza  tena bila ata ya kuwezeshwa.  Nakupitia siku hii muhmu kwetu. naiomba serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhakikisha inapambana vilivyo juu ya unyanyasaji wa kijinsia  tunaoupata wanawake. hasa ubakaji, ukeketaji na  mauaji yanayoendelea zidi  yetu, tunaiomba serikali ihakikishe kwamba wahusika wa matukio kama hayo wanachukuliwa hatua za haraka ili kukomesha maovu hayo. pia nijukumu la kila mwanamke na   Niwajibu wetu kina mama pia na jamii kwa jumla kupambana na majanga haya. tushikamane kujiletea. Tupendandane tushikamane WANAWAKE TUNAWEZA.  by dayna nyange.

Comments system

Disqus Shortname