Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amezindua kitabu kinachoitwa “Julius
Nyerere: Asante Sana, Thank You”, ameliasa Bara la Afrika kumuenzi
Mwalimu Nyerere.
-Amesema Mwalimu Nyerere alitoa mchango mkubwa katika Ukombozi, Umoja na Maendeleo ya Bara la Afrika
No comments:
Post a Comment