07 January 2016

RAIS WA MAREKANI BARAK OBAMA AMWAGA MACHOZI HADHARANI,MAMBO MAZITO YAMSIBU

Rais Barack Obama alitokwa na machozi jana alipokuwa akitetea kufanyiwa mabadiliko kwa sheria za udhibiti wa silaha nchini Marekani ili kupunguza idadi ya watu wanaoshambuliwa na kuuawa kwa Risasi nchini humo.  

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname