Leo Diamond na Idriss Wameonyesha kuwe
wenyewe ni wanaume pale ambapo Diamond Platnumz Amemuwish Happy Birthday
Idriss na Idriss kujibu bila tatizo lolote huku kukiwa na fukuto la
ugomvi mtandaoni kati ya wapenzi wao Wema Sepetu na Zari Hassan
Nimekuwekea Majibishano yao Hapa;
No comments:
Post a Comment