05 January 2016

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA AWASILI MKOANI GEITA KUANZA ZIARA



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Geita Mhe. Fatma Mwassa alipowasili Uwanja wa Ndege wa GGM Geita leo Januari 04,2016 kwa ajili ya kuanza ziara ya siku mbili  ya kukagua  na kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo.
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname