04 January 2016

BREAKING NEWS :MOTO WA RAIS MAGUFULI WATUA WIZARA NYETI,MATAJIRI WA MALIASILI KKUTUMBULIWA

VITA ya utumbuaji majipu iliyoanzishwa na Rais Dk. John Magufuli tangu alipoingia madarakani mwishoni mwa mwaka jana, inazidi kushika kasi, baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, kusema wakati wowote kuanzia sasa Serikali itaanza mchakato wa kupitia upya bei ya umiliki wa vitalu vya uwindaji, ili kuona kama inakidhi vigezo.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname