06 December 2015

UKIMYA WA LOWASSA ,SUMAYE NA MBOWE KUHUSU MAJIPU YANAYOTUMBULIWA NA MAGUFULI WAZUA SITOFAHAMU

Ukimya wa wanasiasa walioongoza harakati za kupambana na ufisadi katika majukwaa ya kisiasa, wakati huu Serikali ikichukua hatua za wazi na haraka kukabiliana na ubadhirifu wa mali za umma, umeibua maswali kuhusu uzalendo kwa nchi yao.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname