Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto)
akizungumza na washiriki wa Warsha ya Majadiliano kuhusu Mpango Mkakati
wa Utangamanisho wa Raia Wapya wa Tanzania. Warsha hiyo
iliyowashirikisha Makatibu Wakuu wa wizara mbalimbali, Wakuu wa Vyombo
vya Usalama, Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi
(UNHCR) pamoja na wadau mbalimbali ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano
wa Hoteli ya Protea Courtyard, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment