02 December 2015

MWANAKAMATI WA LOWASSA AHUSISHWA NA WIZI MKUBWA STANBIC

 Bw. Bashir Awale Kulia Mwenye Tshirt ya Njano Akisalimiana na Lowassa
Siku chache baada ya uchaguzi serikali ya Tanzania ilimfukuza mtu aliyejulikana alikuwa mashauri wa Kimkakati wa Mgombea Urais kupitia Chadema, Bw. Bashir Awale (Mkenya ashikiliwa na Polisi nchini TZee kwa kumpigia debe Lowassa kipindi cha campaigns), kwa kuishi kimakosa nchini.   

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname