05 December 2015

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE, KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG, AHUTUBIA LEO MKUTANO WA MWISHO.


1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015. Picha na OMR
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname