12 December 2015

KATIBU MKUU WA CCM MH KINANA AMPA MAKAVU LOWASSA

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, aliyedai kuwa kazi nzuri anazofanya Rais John Magufuli, ni utekelezaji wa sera za vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname