Dhamana ya vigogo TRA Sh2.16 bilioni
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa masharti magumu ya dhamana kwa vigogo watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kati ya washtakiwa wanane wa kesi ya uhujumu uchumi, kutokana na sakata la makontena yaliyoondolewa katika Bandari Kavu ya Azam bila kulipa kodi.
No comments:
Post a Comment