16 December 2015

BREAKING NEWZZ....MELI YA ROYAL ILIKUWA IKITOKEA UNGUJA KUELEKEA PEMBA INAUNGUA MOTO.


 MELI YA ROYAL ILIKUWA IKITOKEA UNGUJA KUELEKEA PEMBA INAUNGUA MOTO.
KWA BAHATI SERENGETIILIKUWA INATOKEA PEMBA KWENDA UNGUJA NIMEIKUTA NJIANI HIVYO SHUGHULI ZA UZIMAJI MOTO NA UOKOZI WA ABIRIA NA MALI ZAO INAFANYIKA

TUOMBE DUA WAFANIKIWE YOTE MAWILI ...
WENYE WAFANYAKAZI MELINI WAFWATILIE ZAIDI

source -call from baharia ndani ya serengeti

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname