08 December 2015

BREAKING NEWZZ;DR SLAA ATEMA CHECHE ,AMJIA JUU GWAJIMA KWA KUJIPENDEKEZA KWA MAGUFULI,SOMA HAPA LIVE


Aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilbroad Slaa, amefunguka juu ya kauli ya mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima, baada ya kusema kuwa anachokifanya kwa sasa rais Magufuli ndio wananchi walikuwa wanakihitaji kwa muda mrefu
 Dr Slaa amesema mchungaji huyo ni mnafiki kwa kuongea kauli kama hizo mbele ya waumini wake kwani hapo awali kipindi cha kampeni alikuwa ana muunga mkono Edward Lowassa na kufika hatua ya kuitwa mshenga wake, na kuongeza kuwa mchungaji huyo anabadilika kama kinyonga

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname