03 December 2015

BREAKING NEWZZ: RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 7 KWA WAFANYABIASHARA WALIOKWEPA KODI KUJISALIMISHA ,AFUNGUKA MAZITO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amekutana na Baraza la Sekta Binafsi leo Ikulu Jijini Dar.
Katika mkutano huo, Magufuli ametoa siku saba, kuanzia leo kwa wafanyabiashara wote walioingiza bidhaa nchini bila kulipa ushuru wakajisalimishe   

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname