06 December 2015

BREAKING NEWS :ZITTO KABWE AFICHUA UFISADI MPYA SERIKALINI ZAIDI YA BILIONI 900 ZAPIGWA NA WAJANJA

MBUNGE wa jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo,Zitto Kabwe amefichua kuwa katika mwaka wa huu wa fedha Serikali imepoteza jumla ya bilioni 900 huku asilimia 15 ya pesa hizo zikipotea  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname