Breaking news:..TAZAMA UOKOAJI WA ABILIA KATIKA MELI YA ROYAL INAYO UNGUA MOTO IKITOKEA PEMBA KWENDA UNGUJA
Meli
ya royal ilikuwa ikitokea unguja kuelekea Pemba hivi sasa inaungua, kwa
Bahati Serengeti ilikuwa inatokea Pemba kwenda unguja nimeikuta njiani
hivyo shughuli za uzimaji moto na uokozi Wa abiria na Mali zao
inafanyika kama invyoonekana kwenye picha
No comments:
Post a Comment