Mkali wa Bongo fleva ambaye amezoeleka kuchukua headlines na video zake kali kila siku Diamond Platnumz, jioni ya December 11 aliachia video yake mpya inakwenda kwa jina la Utanipenda? Hii ni video ambayo promo yake ilikuwa ya kipekee sana kwani baadhi ya watu wake wa karibu walianza kupost Instagram na kuuliza swali watu kama nikifanya hiki je utanipenda? Mzigo huo hapo unaweza cheki mtu wangu.
BOFYA HAPA KUONA VIDEO HIYO NI HATARI
BOFYA HAPA KUONA VIDEO HIYO NI HATARI
No comments:
Post a Comment