23 November 2015

WABUNGE WAGOMEA MILIONI 90 ZA MASHANGINGI,WATAKA ZIONGEZWE

 Picha hii kutoka Bungeni juzi Rais magufuli aluipolihutubia Bunge
 Wakati Serikali ikihaha kutafuta fedha kwa ajili ya kuendeshea shughuli zake, wabunge wameingia kwenye mvutano na ofisi ya Bunge kuhusu fedha ambazo watunga sheria hao wanastahili kupewa kwa ajili ya kununulia magari yao.
Mwaka 2010, wabunge walilipwa Sh90 milioni kwa ajili ya ununuzi wa magari hayo aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop), ambayo ni vitendea kazi vyao.   

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname