17 November 2015

VIDEO NAPE ALIVYOLIPUKA BUNGENI LEO


Katika kipindi cha kuuliza maswali kwa wagombea nafasi za Upika,Mbunge mpya wa jimbo la Mtama Nape Nnauye aliyeuliza swali lilotafsiriwa na wabunge kuwa ni la kejeli na vijembe hali iliyomfanya mwenyekiti wa muda wa kikao Adrew Chenge kusema kuwa Swali la NAPE siyo Swali.Hata Ole Medeye wa chamdema alipopata nafasi alise ma kuwa kinachomsumbua Nape ni utoto! 
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname