26 November 2015

SERIKALI YAKAMATA MALI ZA BILIONEA WA UNGA

DSC_0121

Akiwa mikononi mwa polisi.

KUMEKUCHA! Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam  akitaka kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya ‘unga, Muharami Abdallah au maarufu kwa jina la ‘Chonji’ na mkewe, Mwalibora Nyanguri kuhamisha umiliki, kupangisha au kuombea mikopo.  

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname