22 November 2015

Magufuli afyeka vigogo 50 walikokuwa kwenye orodha ya kushiriki ziara ya Madola..abakiza 4 tu..Aokoa milioni 700



Raisi Magufuli amezuia maafisa 50 waliokuwa wasafiri kwa ajili ya kwenda kushirika kwenye ziara ya Jumuiya ya Madola.

Badala yake ameruhusu maafisa wanne tu na kuokoa jumla ya sh milioni 700 ambazo zingetumika kulipia posho za safari na kugharamia ticket za ndege.

Chanzo:Nipashe

Hivi kwa miaka 54 ya CCM kuwa madarakani tumepoteza fedha kiasi gani?

Je,umasikini wetu haujasababishwa na viongozi wetu kutowajibika?

Mpaka leo hii hujajua tu na kuthibitisha ni kwanini Tanzania ni masikini?

Hakika nitawapenda UKAWA mpaka siku naingia kaburini kwanini kelele zao zimeanza kuzaa matunda.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname