12 November 2015

HUYU NDO MSICHANA ANAYE KIMEGA CHAMA CHA CHADEMA BAADA YA KUPEWA UBUNGE ...WANACHAMA WENGI WAPINGA



Embedded image permalink
Zubeda Sakuru Msichana mdogo anayedaiwa kuihadaa Chadema kwamba kwao ni Ruvuma na kuteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa na huku ni mwenyeji wa Tanga, well, binafsi ninamfahamu kwa karibu sana ni Msichana ambaye amekuwa akiifanyia kazi Chadema kwa muda mrefu kwenye ofisi zao za Bunge na ni mtoto wa Mchezaji wa zamani maarufu sana wa Simba Adam Sakuru. Kwamba Viongozi wa Chadema wameteua kwa sababu ni kutoka Ruvuma hapana siamini kabisa, na the idea kwamba wanajaribu kuficha ukweli kwamba wamekuwa naye Ofisi zao kwa muda mrefu lakini wamemteua kwa kisingizio cha kuwakilisha Ruvuma ndipo panaponitia wasi wasi wanajaribu kuficha nini hasa? Swali langu kwa Chadema ni moja haya mambo madogo ya kuteuana Ubunge wa Viti Maalum mnataka kuuana hivi je mngeshika Ikulu ingekuwaje? HII NI AIBU YENU!! - Le Mutuz Nation

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname