20 November 2015

BREAKING NEWS.. RAIS MAGUFULI ATIA FOLA KWENYE SHEREHE USIKU HUU AAGIZA FEDHA ZA SHEREHE ZIPELEKWE MUHIMBILI

Leo baada ya Kuhutubia Bunge la 11 la Jamuhuri Muungano wa Tanzania Kumefanyika Sherehe ya Kumpongeza Rais Kwa kufungua na kuhutubia Bunge ambapo zaidi ya million 250 zilikuwa
Zimechangwa Kwa Ufanikishaji wa Sherehe hiyo Kilichotokea ni hiki Rais Magufuli Ameagiza Katika Fedha zote zilizochangwa zitumike million 10 au 15 tu zingine zipelekwe hospitali ya muhimbili kununua vitanda vya wagonjwa....Hongera sana Mr President kwa maamuzi ya hekima

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname