Pamoja
na wenyewe kudai hawajui kilichotokea, mastaa wawili wenye sura za
mauzo kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac
Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya kufuatia bifu zito
linalofukuta kati yao.
Habari za mjini zinadai kwamba, Wema amekuwa
akishtushwa na kuchukizwa na kitendo cha Lulu kuwa upande wa aliyewahi
kuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kiasi cha kwenda
nyumbani kwake, Madale-Tegeta jijini Dar, usiku wa manane na kujiachia
na jamaa huyo anavyotaka.
No comments:
Post a Comment