Tweet
ya mwisho ya Waziri wa Utalii Lazaro Nyalandu, jana mara baada ya
kusikia habari za kuanguka kwa Chopa aliyokuwa akiitumia Mbunge wa CCM
Ludewa Mh. Deo Filikunjombe ambaye imefahamika usiku wa jana kwamba yeye
na wote waliokuwemo kwenye hiyo chopa walipona. |
No comments:
Post a Comment