Hii ndiyo Tunduma bwana, Baada ya kusikia kwamba Lowassa, kipenzi na
kiongozi wa Mabadiriko hapa Nchini atakuwepo hapa Tunduma leo hii mnamo
kuanzia saa tisa alasiri, Wananchi wamekesha uwanja wa MAGEUZI (Zamani
uwanja wa Dr Slaa) Shule ya Msingi Tunduma.
SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment