11 October 2015

Team Bajaji Ndani ya BUKOBA

Team Bajaji ambao ni kundi la wasanii wa filamu na muziki ambao wanazunguuka nchi nzima kwa Bajaji Jana walikua Bukoba  wakizungumza na vijana  huku wakinadi sera za mgombea wa uraisi kupitia CCM Dk John Maguful pICHANI ni JB akiwa ndani ya Bajaji akizunguka katika mji wa BUKOBA 


Wanannchi wa BUKOBA wakisikiliza kwa makini mmoja wa wasanii waliounhana katika Team Bajaji 
Dude akiongea na wananchi wa Bukoba huku akimnadi Mgombea wa uraisi kupitia CCM Dk John Magufuli 

Taswira za bajaji zilizowabeba wasanii hao na jana kutikisa katika mitaa ya Bukoba 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname